Huduma za Mtandao
Hizi ni baadhi za huduma ambazo mtandao huu unapeana.
Masomo
Unaweza kujifunza mengi kwenye somo la Kiswahili katika mtandao huu, kama vile; Lugha, Fasihi, Insha, Mashairi, Isimu Jamii, Uchambuzi wa Riwaya, na kadhalika.
Mitihani mtandaoni
Mtandao huu unakuwezesha kufanya mitihani kwa kutumia tu simu ama tarakilishi. Mtihani utakao fanya ushahishwa na walimu na unapata majibu
Kongamano
Mashindano ya sehemu mbali mbali kwa mfano; uandishi wa Insha, utunzi wa mashairi, na kadhalika, hufanyika mtandaoni bila kuhitaji wahusika kuonana.
Lugha
Lugha ni sehemu kubwa sana kwenye somo la Kiswahili, mtandao huu haufundishi lugha asilimia mia ila umeshughulikia baadhi ya mada muhimu.
Insha
Katika sehemu hii, unaweza kusoma aina za Insha, kuejifunza namna ya kuandika Insha bora na hata kufanya mitihani za insha mtandaoni na kupata majibu.
Fasihi
Sehemu hii inashughulikia fasihi kwa kiasi kikubwa, unaweza kusoma nini maana ya fasihi, aina za fasihi na mambo mengine mengi ambayo yanahusiana na fasihi.
Ushairi
Utapata kuelewa ni maana ya ushairi, umuhimu wa mashairi katika jamii, jinsi ya kutunga mashairi, aina za maishiri, na hata kupata sampuli za mashairi.
Uchambuzi wa Riwaya
Kitengo hiki cha mtandao huu ni cha kusaidia mwanafunzi kupata uelevu wa mambo ya kuchambua Riwaya, kama vile, maudhui na mengine mengi.
Kujifunza Kiswahili
Unaweza pia kujifunza Kiswahili kama Lugha ya kigeni. Sehemu hii inawelenga wale ambao ni wageni Kenya, Tanzania, Rwanda ama sehemu yoyote ambayo Kiswahili huzungumzwa.
Shuhuda
Hapa baadhi ya shuhuda kutoka kwa wanafunzi, wazazi na walimu.